ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Messi ni zama za kale. Zama zake ni historia kwa sasa, tunaangalia Kylian kwa sasa.Usinene ukamala
Naomba Messi asilinganishwe na chochote kile[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi ni zama za kale. Zama zake ni historia kwa sasa, tunaangalia Kylian kwa sasa.Usinene ukamala
Naomba Messi asilinganishwe na chochote kile[emoji23]
Hata mimi najua sio kweli ila nilipewa hilo jibu baada ya kuwambia Mbape kavunja rekodi za World Cup za akina Ronaldo na MessiKwani sio kweli ?
Asante Bwana MdogoHongereni France
Hujui Mpira, Umejaa Mipasho tuLabda kombe la kuwa na wachezaji wengi wa kiafrica
Brazil-Tupe timu zilizokutana na timu ngumu mkuu
Mkuu unataka uone betway yangu ilivyonona...hahaha, au kale kameseji ka "congratulations?"[emoji1787]Ni kweli mkuu namie naongelea hiyo screen shot yako maana huo ni mfano tu bali hukuweka pesa
Ndomana nasema hapo baada ya kamkeka Ka kuzuga kutick ndo unabaki unajisemea kimoyo moyo kuwa dahh ningekeweka hela saizi ningekuwa nimepata kibunda
Senegal anashinda hii mechiKwani mechi hii nayo ni ya kujiuliza mara 2!?
Mshindi ni England
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wanamtaka hadi kesho. Japo media za Spain zina hasira baada ya yeye kuikacha real.Ndio maana amelingana magoli ya world cup na Messi...😂😂😂
Ila tukubali ukweli, Ufaransa wana timu nzuri mno hilo pia linasaidia kumpaisha japo na yeye ni mchezaji mzuri Sana.
Sene-girl leo ndo End of the storySenegal anashinda hii mechi
Kakojoe UkalaleEngland anafika Nusu fainal
Jumamosi ijayo ndo mwisho wa france
Hawa jamaa zako senegal leo wanapigwa kuanzia tatu+
Sent using Jamii Forums mobile app
Senegal anavuka leoEngland anafika Nusu fainal
Jumamosi ijayo ndo mwisho wa france
Hawa jamaa zako senegal leo wanapigwa kuanzia tatu+
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana mapema nimeuandika kabla mechi hazijaanza, ngoja nione utakapofikia kwa kuchanika chanikaUmerudia tena mr sweet handwriting
Watavukaje while wamefanya ^zengwe batili la kifiziolojia^ la kumzuia Sadio Mane asicheze?Senegal anavuka leo
Goli 1
Ova
Tembea nao ila utajua hujui [emoji3][emoji3][emoji3]
Usikute huyu ndiye mwenye KIKOMBE chake ett 🙂Portugal kesho asipokua makini inaweza ikawa ndo mwisho wake ...
Switzerland ni wagumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu unataka uone betway yangu ilivyonona...hahaha, au kale kameseji ka "congratulations?"[emoji1787]