vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Three Lions' XI
Pickford, Walker, Stones, Maguire, Shaw, Rice, Bellingham, Mount, Saka, Kane, Foden.
Yah asipokaa vizuri anaeza ambulia yai vizaPortugal kesho asipokua makini inaweza ikawa ndo mwisho wake ...
Switzerland ni wagumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipoooo
Bado Waingereza wanasubiria goli la kwanza la nahodha Harry Kane kwenye World Cup hiiThree Lions' XI
Pickford, Walker, Stones, Maguire, Shaw, Rice, Bellingham, Mount, Saka, Kane, Foden.
Acha woga, sasa kumbe tatu mzuka unacheza... weka teni uamke na 25k kesho🤣Mimi siyo risk taker
Elfu 5 tu siweki.
Nachezaga tatu mzuka ya buku kila baada ya miezi ..nikiliwa buku langu unakuta roho imeuma hatari.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tumtoe kwanza mkoloni ili tupunguze keleleKati ya siku ambazo nafsi yangu itahuzunika sana ni leo endapo tukishindwa kuwatoa hawa vibonde Uingereza. Hofu ipo kwa mfaransa tukiingia robo.
Hana makuu ila pamoja na hilo bado simkubali
Kweli niliadimika kidogo but nimerudi , leo team gani upoNipoooo
Umeadimika
Akimuotea muingereza akamfunga wa kwanza anatoboa ila akianza kufungwa ndo nitolee hiyoSene-girl leo ndo End of the story
Sio chini ya 3+ leo
Ni mechi ambayo itakosa mvuto mapema sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo kwanza..Kweli niliadimika kidogo but nimerudi , leo team gani upo
Leo zinacheza zote timu zangu
Ila leo nitatanguliza uzalendo kwanza
Pamojaaa ngoja tuoneUzalendo kwanza..
Team Senegal
Team mbappe tushamaliza mahesabu
Kabisa Jombaa. Kitu cha msingi mpira wao ni wa darasani, ukiwabana vizuri hawana mafundi wanaoujua mpira kiuasilia.Tumtoe kwanza mkoloni ili tupunguze kelele
Nisingebeti japo England anaonekana ana nafasi kubwa ya kushinda ila Senegal kwa hatua aliyofikia sio wakumchukulia kindeziUngekuwa mtu wa kubet ungemuua nani?
Na mm niko uko uko