The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kushabikia Senegal ni kujitafutia magonjwa ya moyo tu.Naona leo wote mpo Senegal, sasa wakianza kuchapika msirudi huku.
Mimi pekee nipo kwa Wakoloni. Sawa, acha tusubiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushabikia Senegal ni kujitafutia magonjwa ya moyo tu.Naona leo wote mpo Senegal, sasa wakianza kuchapika msirudi huku.
Mimi pekee nipo kwa Wakoloni. Sawa, acha tusubiri.
Tupo wote MkuuNaona leo wote mpo Senegal, sasa wakianza kuchapika msirudi huku.
Mimi pekee nipo kwa Wakoloni. Sawa, acha tusubiri.
Niende nn sasa? Uzalendo wangu haukuhusu,, ishiaaaaaaAcha ukigeugeu.
Uzalendo gani kwa Wasenegali? Kwendraaa.
Huyu mwamba ni hatari na nusu, namkubali kweli kweli
Ronaldo ashafika climax hana cha kuongeza kwenye soka aende Uarabuni tuuYah asipokaa vizuri anaeza ambulia yai viza
Ronaldo mechi mbili 0 shots on target[emoji102]
England tunamkalisha mbona
Leo sina baraka 😂😂Nani atafunga wa kwanza? Kuna mechi uko juu uliwahi kutaja na akafunga
Mungu awasaidie jmn...1-1, japo natamani sana Senegal ashinde. Extra time itaamua hii game
SenegalSi umenishawishi wewe usiku upo chama gani?
Nakaribia kuzima apa ila
First Half1-1, japo natamani sana Senegal ashinde. Extra time itaamua hii game
No Hard Feelings Mzee! Ni Mambo Ya Kawaida Sana Kwenye Mpira, Ukitaka Usijibiwe, Jifungie Chumbani Uangalie Peke Ako, Usiweke Comment HukuHumu jukwaani watu wana sonona sana, yaani unakuta mtu anataka kuanzisha vurugu kwa kitu ambacho hakimuhusu...duuh
Mwambie akuchapenao mapema ili ukesheSenegal
Ngoja niwe mzalendo
Japo huwa simalizi mechi za usiku usingizi unanipitia...
Ok mkuuAcha shobo boss[emoji16]
Kirahisi namna hii mkuu? Sio group stage hii ujuwe.
HayaEngland tunamkalisha mbona
Wala usifanye yawe makubwaNitakumeza uyo ni rafiki ake na wifi yako
Nasinzia mnoooJikaze ata mimi niko Senegal japo najua hatutashinda