Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hata Ya Saa Nne Inajulikana, Senegal [emoji1211] Anapiga [emoji304] Wale
Napenda hawa rainbow wote wato;ewe tubaki wanaume watupu kule Qatar.

Ujerumani tayari
Australia tayari
Marekani tayari
Poland tayari
Uingereza leo anatoka vizuri sana
 
Naona leo wote mpo Senegal, sasa wakianza kuchapika msirudi huku.

Mimi pekee nipo kwa Wakoloni. Sawa, acha tusubiri.
Mimi nipo Senegal 🇸🇳 japo tunapigwa
 
Naona leo wote mpo Senegal, sasa wakianza kuchapika msirudi huku.

Mimi pekee nipo kwa Wakoloni. Sawa, acha tusubiri.
Mi nisha declare mapema kuwa hizi zote ni timu zangu ila Senwgal nampa kipaumbele

Msinikatae huko mbeleni mi bado mwenzenu
 
Mkoloni angekuwa na Rooney lampard na scholes wakat huu wangeweze kufika fainali

Pale katikati kwenda mbele hakuna fundi
 
Mimi nipo Senegal 🇸🇳 japo tunapigwa
Yaani unajua unapigwa bado unang'ang'ania?

Dawa yako upigwe kichwani tu uchangamle kidogo 😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Senegal dont let us down
Ule ujinga wa kupasi bus waingereza sio watu wazuri mutapigwa uko mbeleni tuwakane na kuanza kutukana humu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Yaani unajua unapigwa bado unang'ang'ania?

Dawa yako upigwe kichwani tu uchangamle kidogo 😂😂😂
Hahahahaha sasa nifanyejeee...England wapuuzi siwapendiii
 
Back
Top Bottom