Amekosa tu wapambe wa kumpigia promo na kumu edit edit na mashuka ya super hero ila dogo boli analipigaHajawah niangusha pale KATIView attachment 2436010
Senegal
Akatae nimfinye [emoji23]
Napenda hawa rainbow wote wato;ewe tubaki wanaume watupu kule Qatar.Hata Ya Saa Nne Inajulikana, Senegal [emoji1211] Anapiga [emoji304] Wale
Aaah wap Senegal mwendo anaumaliza leoHata Ya Saa Nne Inajulikana, Senegal [emoji1211] Anapiga [emoji304] Wale
Yuko vizuri sanaAmekosa tu wapambe wa kumpigia promo na kumu edit edit na mashuka ya super hero ila dogo boli analipiga
Unatamani vitu ambavyo haviwezekaniNataman quarter final iwe SΓ©nΓ©gal and france
Waafrica wauwane sasa
1998 france ndo alichukuaNaona ufaransa inataka kupita njia ya Brazil ya 1994,1998,2002
The higher the risk,the higher the return
Mimi nipo Senegal πΈπ³ japo tunapigwaNaona leo wote mpo Senegal, sasa wakianza kuchapika msirudi huku.
Mimi pekee nipo kwa Wakoloni. Sawa, acha tusubiri.
Elfu 5?Acha woga, sasa kumbe tatu mzuka unacheza... weka teni uamke na 25k kesho[emoji1787]
Mi nisha declare mapema kuwa hizi zote ni timu zangu ila Senwgal nampa kipaumbeleNaona leo wote mpo Senegal, sasa wakianza kuchapika msirudi huku.
Mimi pekee nipo kwa Wakoloni. Sawa, acha tusubiri.
Yaani unajua unapigwa bado unang'ang'ania?Mimi nipo Senegal πΈπ³ japo tunapigwa
Ni kweli timu zote ziko tough sana safari hii ila mm karata yangu naitupa huko
Hahahahaha sasa nifanyejeee...England wapuuzi siwapendiiiYaani unajua unapigwa bado unang'ang'ania?
Dawa yako upigwe kichwani tu uchangamle kidogo πππ