Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Si tulikubaliana mnapenda tall and dark[emoji1787]
Sijui kwanini huyu jamaa namfananisha na yule kocha wa Cameroon.
Inawakumbusha wachezaji hali ya kuheshimiana na kupendanaHivi kuingia na watoto uwanjani huwa wanamaanisha kitu Gani?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Rasta au🤣Sijui kwanini huyu jamaa namfananisha na yule kocha wa Cameroon.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Jamaa alitutesaa haswaHuyu Krepin Diatta nikimuona, nakumbuka ile Afcon. Alituchakaza balaa huyu mwamba.
Simpendi.
Kivipi yaaniInawakumbusha wachezaji hali ya kuheshimiana na kupendana
Inawakumbusha kuwa mpira sio kisasi wala hatia