Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu natambua hilo ila ndo nnachokiona hapa ..Kirahisi namna hii mkuu? Sio group stage hii ujuwe.
Mezani kuna nini?Vamos Senegal[emoji119][emoji119]
Mimi napenda weupeSi tulikubaliana mnapenda tall and dark[emoji1787]
Asipojitoa ufahamu ni bonge Moja la kipaMe nikimuona nasmile,, yan nampendaga tu.. akiharibu mechi namuhurumia
Lakini HT 2-0 sio kwa hawa Senegal.Mkuu natambua hilo ila ndo nnachokiona hapa ..
Kumbuka 16 bora kuna team 8 ambazo zimeingia kibahati tuu
Kwenye 16 bora nakuhakikishia hapa ..
Team 8 zitakazo toka ni mshindi wa pili
Nafkr mpaka sasa ushaona team zilizoenda robo fainal zote ni zile zilizoongoza kwenye group stage
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mashabiki wa Africa ni kivutio Cha utalii[emoji1787][emoji1787]
Remotes tu na Juice ya embe[emoji28]Mezani kuna nini?
Ngoja wajuvi wajeMie najiulizaga sipatagi jibu,
Hawa watoto ni wakwao??
PamojaUtanj tu masta
Ongeza nyamaVamos Senegal[emoji119][emoji119]
Kafanyaje?Huyu beki vipi