Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa England wanapress kishenz
Wanakosa utulivuBeki 2a Senegal wanafanya makosa
Huku leo TBC ipo mubasharaHivi huu mkatiko mkatiko wa matangazo wa TBC na kwenu upo?
KabisaWanakosa utulivu
🤣Ila Mendy 😂😂😂
Wee! Tunamtegemea Washika Mitutu HuyuSaka si awe injury bana
DaaahYaani hawa leo tunao.
Natoa nafasi, wa kuhamia hamieni Ukolonini. Njooni muwe manamba.
Dirisha likifungwa hatutaki wahamiaji tena.
Presha ni kubwaKoudibaly leo, utakuwa mweupe.
Aumie bana, atoke njeWee! Tunamtegemea Washika Mitutu Huyu
Kwa Timu Gani?Yaani hawa leo tunao.
Natoa nafasi, wa kuhamia hamieni Ukolonini. Njooni muwe manamba.
Dirisha likifungwa hatutaki wahamiaji tena.
Senegal hamieni England.Kwa Timu Gani?
Wewe unaangalia mpira kweli? Huoni mashambulizi?Kwa Timu Gani?