Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Iran wazee wa kupack bus wapo vizuri na kama wakitangulia kurudisha ni shughuli.
 
Lea Magwaya ni mzuri akiwa eneo la ushambuliaji. Kakosa nafasi mbili za wazi. Woodwork na nyingine 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…