Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unajua football, Hawa Ecuador tusiwachukulie poa, Senegal anaweza pigwa kabisa.
Kaomba kutokaNose bleed, nahisi aliangukia pua
Naona wanamchangeHuyu kipa sidhani kama ataweza kuendelea na mchezo
Atoke tu kuepusha lawama baadaye isionekane alifungwa kwasababu ya kukosa umakini uliosababishwa na injuryNaona wanamchange
Naona wanamchange
Hii siku nilicheka mpaka machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣Atoke tu kuepusha lawama baadaye isionekane alifungwa kwasababu ya kukosa umakini uliosababishwa na injury
Keeper wa 🇮🇷Wa taifa gani?
Umefikiria kama mimiIngekua bongo tungesema karogwa. Kama yule alieshindwaga kuapa
Asante mkuuPole mkuu
Aah kumbe ilikuwa tujio hili ambalo lilipita kabla ya lile shamhulizi la maguire
Ndio mkuuAah kumbe ilikuwa tujio hili ambalo lilipita kabla ya lile shamhulizi la maguire