🤣🤣🤣🤣🤣 Qatar alichofaidi jana
Pep akimtaka serious atambeba na Kwa sbb dg wana urafik mzr na Halland na Foden wanaweza taka kuja cheza wote city.Hata Madrid wanamnyatia sema Pep atamchukua
Nimemuona Mount hapo nikakumbuka ana kashfa ya kuwa katika mahusiano na Reece James
Ukijumlisha na yuke beki Akanji aliyetoka DortmundPep akimtaka serious atambeba na Kwa sbb dg wana urafik mzr na Halland na Foden wanaweza taka kuja cheza wote city.
Wanajipigiaaa tuKituuuu
Bonge ya goli mamakeSaaaaakaaaaaaaaaa
Yes itakua ni 1 kati ya sabb dg anaweza itaka city zaid kuliko sehem nyngneUkijumlisha na yuke beki Akanji aliyetoka Dortmund
Maguire hajashika kweli?Bonge ya goli mamake