Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wana uwezo wa kufika mbali pia.Portugal kwanini hapewi advantage ya kutwaa ndoo?
Ronaldo anataka kufunga mahesabu kwenye soka endapo atafanikiwa kunyakua hili kombe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanesco ni wangese.
.Namuona jamaa flani black, sijui mmarekani huyu ila femous sana
Huyu ni mmaeekani actor anaitwa Morgan Freeman
Mfalme si aongee kingleza tuelewe
Sanaaa mkuu 😍Vipi kumedamshi?
Ukitaka kushangaa uliza watu wa Kigoma, yani wakati mwanza kigiza cha saa 1 kimeanza kushamiri, mtu wa kigoma anakwambia anaenda sokoni[emoji23].Mbona hiyo kawaida. Dar muda huu kikigiza kinaingia ila bukoba ndiyo kwanza jua linawaka Kama saa kumi hapo Dar
Sanaaa mkuu 😍Vipi kumedamshi?
Tanesco ni wangese.
Waarabu nyoko....ukiwa na hela ata kiswahili unaongea tuu pale un na hamna kutasfiri. Tz tutafute hela tuuHata hawatafsiri hicho kiarabu
Kingamuzi cha Startimes ni chanel namba ngalu wanaonesha FIFA?
Kingamuzi cha Startimes ni chanel namba ngalu wanaonesha FIFA?
Ndo huyu huyu