Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Portugal kwanini hapewi advantage ya kutwaa ndoo?

Ronaldo anataka kufunga mahesabu kwenye soka endapo atafanikiwa kunyakua hili kombe
Na wana uwezo wa kufika mbali pia.

Unajua kwa ule Mpira wa Ulaya Mimi naamini hakuna timu ya ulaya ya kuitingisha Portugal kwa hivi sasa, labda kidogo Ujerumani lakini pia hawaiwezi.
 
Namuona jamaa flani black, sijui mmarekani huyu ila femous sana
.
IMG_20221120_180647.jpg
 
Back
Top Bottom