Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Hivi gharama ya kuandaa kombe la Dunia ni bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini tupo wengi kuliko Qatar [emoji23][emoji23]About 120 years to come[emoji23]
Wapigaji wengi huku, ikiwa Fedha za misiba tunapiga, sembuse shereheVipi watanzania tunaweza na sie au bado tuendelee kungoja kwanza?
Unakumbuka alichokifanya kwenye mechi ya Yanga wachezaji walisimama tu uwanjani wanasubiri amalize ili mpira uanze.Nimecheka sana
Mi naishi jirani na msikiti wala sipati tabuHata hawatafsiri hicho kiarabu
[emoji23][emoji23]Wapigaji wengi huku, ikiwa Fedha za misiba tunapiga, sembuse sherehe
Vipi watanzania tunaweza na sie au bado tuendelee kungoja kwanza?
Ndio yupoNasikia kuna mtoto wa mtanzania anakipiga Qatar hapo yani yupo first eleven ya leo
Akram AfifNasikia kuna mtoto wa mtanzania anakipiga Qatar hapo yani yupo first eleven ya leo
Ingekuwa kwetu. Mara paaap tanesco wamefanya yao.Mpaka sasa kwenye sherehe ya ufunguzi siwadai kitu waandaaji
Mkuu na wewe unaangalia TBC kama mimi.Nasikia kuna mtoto wa mtanzania anakipiga Qatar hapo yani yupo first eleven ya leo
Mamilioni kama afutatu hiviHivi gharama ya kuandaa kombe la Dunia ni bei gani?
AftatuHivi gharama ya kuandaa kombe la Dunia ni bei gani?
Wengi sio hoja, brain, brain, brain...!!!Lakini tupo wengi kuliko Qatar [emoji23][emoji23]
Portugal akichukua hata mimi nitafurahiHii kutopewa nafasi hata haituumizi Portugal mwaka huu tuna jambo letu na bila kupepesa macho tunabeba hii ndoo
Nia tunayo na Kikosi tunacho
Vamos Portugal