Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Vipi watanzania tunaweza na sie au bado tuendelee kungoja kwanza?

Gwajima kila siku anaongea Bungeni ila huwa hatumuelewii…

Gwajima huwa anasema kama nchi lazima tuwe na Maono ya Miaka 20/30/40 mbeleeeee, ila sisi hatuna tunakuja na Maono ya papo kwa papo, Lakini tungemuelewa Gwajima tungejua kama Tanzania Tutakuja weza Kuhost Kombe la Dunia Au Hatutakuja Kuweza, Ila Kwa Barabara za Dar Kombe la Dunia Tusahauuuuu……. Labda wabome nyumba sanaaaaa zipite barabara za Njia Nane kaka 30 hivi
 
Back
Top Bottom