Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sio mchezo. Kumbe bado tupo tupo Kwanza, Naskia Kwa hiyo pitch ya Leo full AC baridi Mpaka unaganda.

Only in Qatar Kwa Technologia Wako Mbali sanaaaaaa

Just Imagine siku China Akiandaa michuano ya Kombe La Dunia….. Mashabiki mtakuwa Mnaenda uwanjani kwa Kunena Tuuuu… Nataka niwe Uwanjani Seat Namba 296…. Unafumba macho ukifumbua Uko Uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] Naisubir kwa Hamu sana China Ikiandaa haya Mashindano
 
Jlo hajaimba?au mi nimechelewa

Jlo hawezi Kuimba Qatar Vita ni Kubwa sanaaa ya Kiinchi Na Kiimani. Alicia Keys Alitakiwa Kutumbuiza Yuko Wapi?

Hiii Vita Ni Kubwa kwa jicho la Kawaida Huwezi kuielewa. Hata Morgan Ashukuruu tuuu ni Vile Hawakuwa na Choice
 
Only in Qatar Kwa Technologia Wako Mbali sanaaaaaa

Just Imagine siku China Akiandaa michuano ya Kombe La Dunia….. Mashabiki mtakuwa Mnaenda uwanjani kwa Kunena Tuuuu… Nataka niwe Uwanjani Seat Namba 296…. Unafumba macho ukifumbua Uko Uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] Naisubir kwa Hamu sana China Ikiandaa haya Mashindano
Uchumi ndio kila kitu

Sisi bado tuna fight na umeme pamoja na bundles
 
Back
Top Bottom