Manwambele
Senior Member
- Jan 4, 2016
- 110
- 172
Mm kwa sasa hii Tbc nimekubali ni HD kwangu inatosha sana naona wamerekebisha now.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waara spare no expense....wamemwaga mihelaMtangazaji anakwambia hii ndio World Cup ya gharama zaidi kuwahi kufanyika
Hujataka kabisa heka heka ya kuwa jikoni na kurudi kuchungulia TvWacha kabisa leo nimepika cha moja kwa moja 😆 😆
Sio mchezo. Kumbe bado tupo tupo Kwanza, Naskia Kwa hiyo pitch ya Leo full AC baridi Mpaka unaganda.
Vipi dirisha dogo atue msimbazi kuchukua nafasi ya Kibu?Namuona hapa Akram Afif kaka yetu kabisa
😂😂😂😂😂😂 awweeeeeMm kwa sasa hii Tbc nimekubali ni HD kwangu inatosha sana naona wamerekebisha now.
Naskia ni dogo tegemezi sana yani hana utofauti na Chama pale lunyasi
France wana watu wa kazi, ila majeruhi watatucost. No Pogba, Benzema, Nkunku, Kante.. daah Brazil wana timu nzuri sana sema mabitoziFrance kwasababu ya Mbappe, Wenegal ni uzalendo tu
Hajaimba dearJlo hajaimba?au mi nimechelewa
Kuna mwaka hawa tbc walikuwa wanachambua mpira, marehemu Mwalimu Kashasha (Mungu amrehemu) alikuwa kashika fimbo huku anaelekeza kwenye tv pale.Mm kwa sasa hii Tbc nimekubali ni HD kwangu inatosha sana naona wamerekebisha now.
Nakubaliana nawewe, wakijitahidi sanaa ni sare tena wabebwe.Qatar anafungwa leo
Nimekaa pale
Jlo hajaimba?au mi nimechelewa
Uchumi ndio kila kituOnly in Qatar Kwa Technologia Wako Mbali sanaaaaaa
Just Imagine siku China Akiandaa michuano ya Kombe La Dunia….. Mashabiki mtakuwa Mnaenda uwanjani kwa Kunena Tuuuu… Nataka niwe Uwanjani Seat Namba 296…. Unafumba macho ukifumbua Uko Uwanjani [emoji23][emoji23][emoji23] Naisubir kwa Hamu sana China Ikiandaa haya Mashindano
Hajaimba dear
Hata wakibebwa hawatoboiNakubaliana nawewe, wakijitahidi sanaa ni sare tena wabebwe.