Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkiambiwa ukweli mnakuja na vipoint uchwara, ila ukweli ni kwamba havitusaidii.

Nimeuliza, tutawazidi nini weupe? Nafikri uweke hata kimoja tu hapa.[emoji23]
Mimi mwenyewe ni mweupe ila nakushangaa wewe mweusi kwanini hujikubali hata kwa kidogo ulichonacho,

Btw, tupo kwenye mpira enjoy game
 
Hiyo ndio logic niliyokuwa najaribu kuwasilisha, watu humu hawajui sheria ila wapo kukosoa vitu bila msingi.


Hapo hakuna maswala ya kibinadamu, huo mpira tu una chip ambayo haiwezi kukosea vitu vidogo kama hivyo, wabongo wapo busy kukosoa kwa macho[emoji23].
Sasa hivi kuna Video kibao ni offside,

 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hassan Afif mtoto wake ndio huyo anayecheza Qatar
70E1CE5D-BBDF-49DE-BF4C-9B91CC448081.jpeg
 
Back
Top Bottom