ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Unadownload app gani Google?Unadownload app google then unaenda play stpre unadowmload yaccine player unakua umemaliza.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadownload app gani Google?Unadownload app google then unaenda play stpre unadowmload yaccine player unakua umemaliza.
Mechi ikiisha katulie tuli upitie sheria za offside.lets enjoy soccerNimeshaeleweshwa kwenye uchambuzi, ila kwa unachokieleza hapa sio sahihi kulingana ma mazingira ya Hilo tukio. Kwa kuwa kipa alitoka kucheza MPIRA, mchezaji wao akawa nyuma ya goalkeeper hivyo alitakiwa awepo mwingine walau wawili na si mmoja kama iliyokuwa kwa tukio hilo
Kichwa cha habari kimekosewa.View attachment 2383741
Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika kuanzia November 20 mpaka December 18 mwaka huu. Michuano ya mwaka huu ni mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia kufanyika katika nchi ya Kiarabu lakini ni mara ya pili kwa michuano hiyo kufanyika katika bara la Asia mara baada ya Korea Kusini na Japan kuandaa kwa pamoja mwaka 2002.
Pia michuano ya mwaka huu, ni kwa mara ya kwanza kufanyika nje ya utaratibu uliozoelekea wa mwezi May, June au July. Michuano ya safari hii itafanyika mwezi November mpaka December kutokana hali ya hewa kuwa rafiki tofauti na joto kali la miezi ya May, June au July.
Qatar ambao ni wenyeji wa michuano hiyo, itakuwa ni mara yao ya kwanza kufuzu toka Kombe la Dunia lianzishwe. Hivyo wametumia vyema nafasi ya mwenyeji kufuzu automatic.
Kombe la Dunia la mwaka huu 2022 litakuwa la mwisho kushirikisha timu 32 kama ilivyo katika utaratibu wake.
Kuanzia michuano ijayo ya mwaka 2026 itakuwa inashirikisha timu 48.
Mpira wa Kombe la Dunia la mwaka huu, unajulikana kama "Al Rihla" ikiwa na maana ya " the journey " safari kwa kiswahili. Ni mpira maalum ambao umetengenezwa na Adidas huku ukiwa umefungwa kifaa maalum cha kusaidia kugundua offside kwa haraka zaidi.
Michuano hiyo itafanyika katika viwanja vinane ndani ya majiji matano. Kiwanja mojawapo ambacho ni kivutio ni "Stadium 974" ambapo kimetengenezwa kwa kutumia makontena 974 na kitavunjwa punde baada ya kumalizika kwa michuano hiyo.
Vikosi vya timu vitaanza kutangazwa mapema mwezi ujao wa November na kila timu itatakiwa kuwa na wachezaji 26 badala ya 23 kama ilivyozoeleka.
Mechi ya ufunguzi tarehe 20 Nov itamuhusisha mwenyeji ambapo itakuwa ni Qatar Vs Ecuador.
Kwa raundi mbili za mwanzoni katika hatua ya makundi, mechi zitapigwa katika majira yafuatayo; Saa 7:00 mchana, Saa 10:00 jioni, Saa 1:00 Usiku na Saa 4:00 Usiku.
Baada ya hapo, mechi za raundi ya mwisho za makundi, mechibza mtoano mpaka Fainali zitakuwa zikipigwa Saa 1:00 usiku na Saa 4:00 usiku.
Masaa ya Qatar ni sawa kabisa na masaa ya hapa Afrika Mashariki, hivyo muda utakuwa unafanana.
Tutashuhudia mechi zote 64 kupitia DStv. Kwa wale wa kustream, Hesgoal.com itakuwa chaguo sahihi kwako.
Updates zote za vikosi vitakavyoitwa, ratiba za mechi, jezi, uchambuzi na mengineyo utayapata hapahapa kwenye uzi huu.
Karibuni sana...
View attachment 2383805
Ratiba kamili ya Mechi za Kombe la Dunia 2022 Qatar
Kumbuka: Muda wa Mechi ni kwa saa za Afrika Mashariki HATUA YA MAKUNDI RAUNDI YA 16 ROBO FAINALI NUSU FAINALI FAINALIwww.jamiiforums.com
Kichwa cha habari kimekosewa.
Sio:
2022 Fifa World
Cup Qatar
Bali:
Fifa World Cup
Qatar 2022
Kuwa makini
Kweli kabisa ni kubadilisha hapoKichwa cha habari kimekosewa.
Sio:
2022 Fifa World
Cup Qatar
Bali:
Fifa World Cup
Qatar 2022
Kuwa makini
Ipo kundi ZHivi Tanzania wapo kundi gani
Kundi la wapenzi watazamajiHivi Tanzania wapo kundi gani
Mesi na team yake ubingwa watachukua
Ubingwa wa nyokoMesi na team yake ubingwa watachukua