Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe makini kivipi Sasa mkuuKichwa cha habari kimekosewa.
Sio:
2022 Fifa World
Cup Qatar
Bali:
Fifa World Cup
Qatar 2022
Kuwa makini
Yani kwa ninavyoona wamejiamini sana, toka mwanzo kina Xavi, Carzola na wengine wanawapeleka kwao ili wapate ule mpira wa kispain. Tatizo ni kwamba hawana vipaji, ukimtoa huyu Mbongo Afif timu nzima wa kawaida sana.Qatar hawana hadhi ya kucheza kombe la dunia
Mashindano kufanyikia nyumbani ndo kumem'beba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu.. Lionel Scaloni ni zaid ya mtu wa muhm kwny iyo team.huyo kocha wa agentina ndo changamoto
Afif mkuu ni mbongo?Yani kwa ninavyoona wamejiamini sana, toka mwanzo kina Xavi, Carzola na wengine wanawapeleka kwao ili wapate ule mpira wa kispain. Tatizo ni kwamba hawana vipaji, ukimtoa huyu Mbongo Afif timu nzima wa kawaida sana.
Kwa hivi vipaji vyao walitakiwa wawe na Negative approach, wawe wanakaba sana, basi la maana, etc sema waache wapate reality ngumu.
Wenzapo Saudi na Iran wanaweza fika mbali kwa design za makocha waliochukua.
KwannQatar hii rangi ya jezi wabadilishe itawagharimu sana
Kwanini mkuu?Qatar hii rangi ya jezi wabadilishe itawagharimu sana
Yah, mtu wa Moshi ni Mix msomali. Cheki wikipedia.Afif mkuu ni mbongo?
Hapana Ecuador wazuri mkuu, South America hawa mpaka unawaona hapa kuna kina Chile wametoka huko.Hawa wote ndio vibonde wa hili kundi, siwaoni wakipita.
Qatar nao sio wabaya kama mnavyotaka kuaminishana humu, nadhani waliingia na hofu tu.
Walifumaniwa tu, sio kwamba ni wabaya kihivyo kama mnavyodhani.Qatar wameanza kucheza vizuri tofauti na first half
Ni wazuri ila kwenye kundi lao ni lazima watoke.Hapana Ecuador wazuri mkuu, South America hawa mpaka unawaona hapa kuna kina Chile wametoka huko.
Ila bado ana mechi mbili zingine kuprove otherwise. Hata kama kiukweli ana mpira kungu sana..Bye Bye Muarabu,
Masharti kibaooooooooo uwanjani sifuri [emoji2960]