Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Qatar hawana hadhi ya kucheza kombe la dunia

Mashindano kufanyikia nyumbani ndo kumem'beba

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kwa ninavyoona wamejiamini sana, toka mwanzo kina Xavi, Carzola na wengine wanawapeleka kwao ili wapate ule mpira wa kispain. Tatizo ni kwamba hawana vipaji, ukimtoa huyu Mbongo Afif timu nzima wa kawaida sana.

Kwa hivi vipaji vyao walitakiwa wawe na Negative approach, wawe wanakaba sana, basi la maana, etc sema waache wapate reality ngumu.

Wenzapo Saudi na Iran wanaweza fika mbali kwa design za makocha waliochukua.
 
Afif mkuu ni mbongo?
 
Hawa wote ndio vibonde wa hili kundi, siwaoni wakipita.

Qatar nao sio wabaya kama mnavyotaka kuaminishana humu, nadhani waliingia na hofu tu.
 
[emoji846]
IMG-20221120-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom