Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wenyeji Qatar wamepiga marufuku mambo kadhaa yafuatayo yasifanyike hadharani kwani ni kinyume na tamaduni zao;

Unywaji wa pombe hadharani

Mapenzi ya jinsia moja

Kupigana mabusu hadharani

Mikakati madhubuti, Kwani Kuna Maisha Baada ya Kumbe La Dunia
 
Back
Top Bottom