Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,921
Senegal chama langu ila kukosekana kwa Mane ni big lossMi mzalendo bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Senegal chama langu ila kukosekana kwa Mane ni big lossMi mzalendo bana
Goli la super subMan tunalo 1
Huyu enzi za Samatta alikuwa analaumiwa ubaguziGrealish
Kwani mkuu huoni kinachoendelea uwanjani
Mkuu, "it's coming home mwaka huu"
Yaache tuNafika home nako hakuna umeme 🤣
Khaaa Taneshkoo jamani
Nafika home nako hakuna umeme [emoji1787]
Khaaa Taneshkoo jamani
Yanaboa sanaaaYaache tu
Huku tukishinda na umeme ikifika saa 12 kasoro jioni washaukata ila wakiukata asubuhi hii jioni wanachelewa sana kuurudisha...bumbav sana Taa-Nesi-KooNafika home nako hakuna umeme 🤣
Khaaa Taneshkoo jamani