Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

DID YOU KNOW? Argentina have become the first team in World Cup history to have four players over the age of 34 in their starting lineup, with Messi, Nicolas Otamendi, Angel Di María and Papu Gomez all making Lionel Scaloni's XI.
 
Mimi nipo tayari kubet kwa kiasi chochote ila Argentina hachukui kombe mwaka huu na wala fainali HAFIKI

Kombe lisipoenda Brazil basi linaenda ulaya kwa aidha France, England au Nerthelands.
 
Gooooooooool[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji366][emoji366][emoji366][emoji366]
 
watu wanalalamika offside, kwani hamuangaliagi epl na ligi za ulaya??

Var na technology hayo ndo mambo yake

tatizo wabongo tunaangalia mpira kwa fikra za ligi kuu bara na chandimu

tena world cup hii mipira ina sensors ndani zinazopeleka taarifa kwenye chumba cha VAR kama kuna offside

soka linatuacha nyuma sana tusipokabili kasi ya mabadiliko!!!
 
Back
Top Bottom