Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Nope!Mechi droo hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope!Mechi droo hii
Daaah nasikitika kuikosa hii mechihii ni moja ya mechi bora za kukumbukwa World Cup 2022
AhhahahahAmini kwamba hapatakalika ikitokea CR kabeba ndoo, kwanza ile tu wametobo final [emoji1].
Hahahaha!. Kabla ya dakika 27 ulisema Argentina anashinda.Mechi droo hii
Huyo ni pro MessiLi Refa ni la wapi hili ?Yaani linawabeba Argentina kweli kweli.
Dakika za substitution,dakika za kutibu,Kila dakika inayopotea wanafidia,Colina kasema hawataki kuona mpira unachezwa Kwa dakika 42 badala ya 458 min zimeongezwa
Bonge la mechii mkuuDaaah nasikitika kuikosa hii mechi
Kama Plan A haifanyi kazi twende na Plan BHahahaha!. Kabla ya dakika 27 ulisema Argentina anashinda.
Sasa umegeukia kuomba droo.
Messi kirikuu mbilikimo mapunye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangia hapo kesho huwezi kuiona daima.Wachezaji wa Saudia wanacheza kama kesho haipo
Hii game ikiisha hivi Argentina atakuwa na presha sana.Wachezaji wa Saudia wanacheza kama kesho haipo
🤣🤣🤣🤣Mechi droo hii