Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mwana Argentina mwenzangu unaendeleaje.... Maana ilibidi nijitoe kwanza mtandaoni kwa maslahi mapana ya moyo wangu [emoji23][emoji23]
Mpr mkuu acha tu asa sisi washibiki Lia Lia kaz mno.. Nilijitaid kua hapa walau kujib tuhuma mbili 3 baada ya game lkn nilikua na maumivu makal sana ya kuanza kipigo mapema hii leo.
 
Back
Top Bottom