Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Mkuu world cup ni kitu ingineeee kabisaaNikikumbuka Spain alivo dhalilishwa kule Brazil 2014... Sina hamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu world cup ni kitu ingineeee kabisaaNikikumbuka Spain alivo dhalilishwa kule Brazil 2014... Sina hamu
Yaani wanagubu hao...utafikiri wao wameshautwaa ubingwa 😂😂Ahsante sana...watu wanaosadikiwa kuwa ni mashabiki wa Ronaldo na Ureno walinishambulia hapa
Wakala wake mama yakeHuyu rabiot ndio alitaka mpunga mrefu kwenda man utd
Hii mechi nyingine inanipita kwa uzembe wa TanescoMbappe na Dembele hawa vijana hawafai
Hatukujua kama Argentina angekalishwa vile na Saudi Arabia.Mimi bado ninaamini France atavuka kundi lake jepesi
M-bet na Sportpesa wame mindWamesawazisha.. Aisee Mkeka unaweza tema.. Niliipa France.
Mwaka huu itakuwa tofauti sana, France anafika final labda kama atapoteza mechi ya fainali.Tangu mwaka 2010, Defending title hajawahi kuvuka group stage.
Ngoja tuone mwaka huu
Yah ndo uhondo wa footballHatukujua kama Argentina angekalishwa vile na Saudi Arabia.
Football...