Mbeya Girl
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 298
- 627
Hatimae mpira umeanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa hapa kesho chai ya mama wa kambo sinywiiiii naenda pata supuKwahiyo keka limetiki 🤸
Sijui?Mimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
AtaulizaaaaKabisa hapa kesho chai ya mama wa kambo sinywiiiii naenda pata supu
Kumbe!Zipo...fourth official anainhia kama refa anashindwa endelea
Umaliziaji tuCanada wanacheza vizuri sjui shida nini
Oh kumbe!Sijawahi shuhudia, ila ikitokea tatizo 4th official huingia kuwa mmoja wa refs
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app