Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Wee dk 15 unapika nini 🤣Tukapike wengine. Ni mwendo wa vimchicha vya fasta tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee dk 15 unapika nini 🤣Tukapike wengine. Ni mwendo wa vimchicha vya fasta tu
Kwa akili Yako ya namtumbo unazani Ghana watafika wap au ndio Leo umeanza kucheki mechiMbona kama unawashwa
Walisema hichi ni nn asee ilikua na vibe sio la kawaida.. Me kwng ile ilikua WC bora kbs on and off the pitch ilikua bora sana kiukwl.Wazungu hawatasahau kelele za vuvuzela kule SA, ilibidi waitishe kamati bwana[emoji1].
Huu mjadala hauwezi kuisha, na ndiomaana ni bora wote wakose WC mpaka watakapostaafu ili tupunguze kelele.Mbona unataka kuanzisha ligi mkuu
Kuhusu messi tumwache pale juu namba moja
Wengine mtawapanga
Hapa mdogo wangu update napata ndiyo lakini ule utamu wenyewe wa pira biriani ndiyo 'kipaombele' changu..! 😂
Mimi sintakaa nishabikie timu za Afrika tena. Brazil inatosha. Moyo wangu wa dhamani mno.Timu za Africa zinazocheza leo, Ghana dhidi ya Portugal na Cameroon dhidi ya Switzerland zitashinda kwa magoli mawili na zaidi.
Portugal vs Ghana = 1 - 2
Switzerland vs Cameroon = 1 - 3
Manyuuuu ðŸ¤
Subiri dirisha dogo uone.Kustaafu amegoma na timu hazimtaki subir tuone
Naomba niwe mgeni wako,Mimi niliuza tv baada ya Argentina kufungwa.Mimi sipo na Ghana wala Portugal. Mimi naangalia pira Biriani tu. Nagurahia soccer. No stress.
Huu mjadala hauwezi kuisha, na ndiomaana ni bora wote wakose WC mpaka watakapostaafu ili tupunguze kelele.
Jamaa aliususa mpira.Refa yupo makini. Anajua ujanja wa CR7.
Kwa akili Yako ya namtumbo unazani Ghana watafika wap au ndio Leo umeanza kucheki mechi
Blatter alimuambiaga anajua kioo tu 😄Ronaldo anapenda camera kulko hata beyonce
Namshukuru sana Mama nimeweza kuamka salama.Umeme hakuna halafu kuna mijinga inakuja na bango mama anaupiga mwingi
Hivi katika hii mechi dada zetu mko na sisi kuwasupport Ghana? Mbona kama mko na Ronaldo sana! Tutazinguana asee
Binafsi siyo fan wa Ronaldo ila nipo na PortugalHivi katika hii mechi dada zetu mko na sisi kuwasupport Ghana? Mbona kama mko na Ronaldo sana! Tutazinguana asee
www.heasgoal.comJamani naombeni Link, siyo kwa mateso haya nayopata mara lisauti lipotee..!!