Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

1st 11[emoji1211]

hawa leo wakishndwa kushinda watakua wapuuz sana.. kama wanatk hope yoyote ya kufuzu bas game ya leo washinde
Screenshot_20221125_150646.jpg
 
Iran walistahi kabisa kupata huu ushindi. Wamepigana sana na walipata nafasi nyingi wakashindwa kuzitumia. Dakika za nyongeza 9 wakapata goli mbili. Honesty nimefurahi pamoja na iran.



Tukutane saa kumi jioni. Kwwnye game kati ya Qatar na Senegal
 
Back
Top Bottom