Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Argentina mtoeWho will win the WC 2022?
Source goal.com
- 69,459 Brazil
- 61,602 Argentina
- 19,582 France
- 68,346 Other
Kwani mechi inayoendelea imeisha? Ni ngapi kwa ngapi?
Duuh ila hao Wales mi ndo nawasikia kwanza kwenye kombe hili toka miaka ya elfu mbili nianze kuangaliaWales 0-Iran 2
Duuh ila hao Wales mi ndo nawasikia kwanza kwenye kombe hili toka miaka ya elfu mbili nianze kuangalia
Hivi sifongo hua ni nini? Nimeisikia sana kwenye wimbo flani wa Prof JayTunaendelea kunywa Sifongo😀😀😀😀😀
Bonge ya goal Bonge ya bombaa..
Nimefurah sana Iran kushinda ili game yao na USA iwe ya kufa mtu[emoji23][emoji23]
Aaaah we we!!Uzuri soccer mambo yote hadharani. Nani alitarajia France wangeshinda 2018 ? Ila ikute Saud Arabia wakashinda world cup 2022.Who knows ????
Alipora kivipi?? Ukraine alikua hana uwezo ndomana alifungwa.
Kuna mwaka Greece(ugiriki) alikua bingwa wa euro, alimfunga ureno fainali na hamna alodhania km wataweza. Mpira ni mchezo wa wazi na una maajabu yake. Hua naamini lolote linaweza kutokea.Hiyo ni Forbiden Win!!
Yaani washindwe Brazil A na washindwe Brazil B
Wasindwe Argentina, Germany, France, Spain, England, Netherlands, Portugal ndio hao washinde. Itakuwa ni matusi kwa soka duniani
[emoji23][emoji23][emoji23]Wavaa kobadhi humu ndani wamefurahi
Spain ni wakawaida sana mkuu juzi kapiga bomu mochwari, ngoja tutunze maneno.ngoja kwanza ashinde kwa German ndo tuanze kumfikiliaSpain wataenda kufia mbali. Only brazil & France ndio wanaweza kumchalenge Spain.
Individual, team work, na technically brazil na France ndio wanaweza kuwa sawa na spain. Hawa kina german, portugal, england ni mavuvuzela kelele kibao kama nguruwe waliona ndoo ya makombo.
Mabingwa ni kati ya Spain, France au brazil. Waliobakia wasindikizaji