Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hiyo ni Forbiden Win!!
Yaani washindwe Brazil A na washindwe Brazil B
Wasindwe Argentina, Germany, France, Spain, England, Netherlands, Portugal ndio hao washinde. Itakuwa ni matusi kwa soka duniani
Kuna mwaka Greece(ugiriki) alikua bingwa wa euro, alimfunga ureno fainali na hamna alodhania km wataweza. Mpira ni mchezo wa wazi na una maajabu yake. Hua naamini lolote linaweza kutokea.
 
Spain wataenda kufia mbali. Only brazil & France ndio wanaweza kumchalenge Spain.

Individual, team work, na technically brazil na France ndio wanaweza kuwa sawa na spain. Hawa kina german, portugal, england ni mavuvuzela kelele kibao kama nguruwe waliona ndoo ya makombo.

Mabingwa ni kati ya Spain, France au brazil. Waliobakia wasindikizaji
Spain ni wakawaida sana mkuu juzi kapiga bomu mochwari, ngoja tutunze maneno.ngoja kwanza ashinde kwa German ndo tuanze kumfikilia
 
Rivarl is not an Enemy. Humanity above religious dogmatism . No religion every talks about killing innocent,only dogmatic people do. Dont blame any religion,balme the blind followers who disgrace the religion. WELL PLAYED IRAN U MADE ASIA PROUD.[http://img]

Copy& paste.
 
Back
Top Bottom