Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Refa anasimamia muda
Na vip kuhusu huo muda ambao umeongezwa na wenyewe haukutumika vizuri, imagine zimeongezwa dakika 10,lakini wachezaji wakapoteza tena kwa makusudi dakika 5. Je zitaongezwa zingine 5? Na kuwa jumla 15?
 
Acha upotoshajiiii kwendraaaa
Saa 4 usiku sio mbali tunza post yangu baadae utafanya reference narudia akipita Argentina akipita akamfunga Mexico uje kunizomea, ila asipopita ukubari nikuzomee wiki nzima na ntakua nakuita jina jipya wewe ni mbwa umekaa pale
Screenshot_20221126-181045.png
 
Back
Top Bottom