Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ufaransa akifungwa mniambia siwapend maana ticha wetu wa somo la kifaransa alinipa suspension [emoji57][emoji57][emoji34][emoji34]
Mi hii lugha nilienda kukutana nayo chuo kisa Ufaransa wanadhamini kile chuo. Unafundishwa kitu ukishika daftari za watoto wa ndugu zako walioko chekechea unakuta nao wanafundishwa hayo hayo. Niliwachukia moja kwa moja wafaransa
 
Back
Top Bottom