permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Mkuu ulitaka wawepo wataalamu wa kuangalia mwezi?VAR mbona wazungu tupu mule chumbani[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulitaka wawepo wataalamu wa kuangalia mwezi?VAR mbona wazungu tupu mule chumbani[emoji23][emoji23]
Nimekaa paleeeFrance 0-1 Denmark[emoji16]
Kweli kabisa mkuu. Eti mtu hana time kabisa na world cup ila ana time na yanga au simba.
Natengeneza umeme wangu soon [emoji41][emoji41]Ninua generator
Nimekaa paleee
Mi hii lugha nilienda kukutana nayo chuo kisa Ufaransa wanadhamini kile chuo. Unafundishwa kitu ukishika daftari za watoto wa ndugu zako walioko chekechea unakuta nao wanafundishwa hayo hayo. Niliwachukia moja kwa moja wafaransaUfaransa akifungwa mniambia siwapend maana ticha wetu wa somo la kifaransa alinipa suspension [emoji57][emoji57][emoji34][emoji34]
Sema Denmark hua sio wanyonge kwa UfaransaMbappe Leo anakabwaaaa hadi sio poa
Ila najua wafaransa wajanja sana wana ka style kao ka uchezaji kulingana na hali halisii
..lazima watapata mbinu ya kutoboa tuu
Nimeona aseeSema Denmark hua sio wanyonge kwa Ufaransa