OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Refa katumia kigezo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Endelea kubana kende tunashambuliwa vibaya sanaKuna wakati nilijikuta automatically nashabikia Korea nikastuka kumbe mimi Muafrika.
Tunaelewa hakuna goli hapoWenzangu mnawaelewa Ghana kweli?
Kweli kabisa tunashambuliwa sana now,Korean drama zimechangia kujiona mkorea kumbe wa mchongo.😂😂😂 Endelea kubana kende tunashambuliwa vibaya sana
😂😂😂 Noma sana Lee Jung Sung wa MchongoKweli kabisa tunashambuliwa sana now,Korean drama zimechangia kujiona mkorea kumbe wa mchongo.
Kipa katoa chuma
Bibi si fananishi bali naongea uhalisia tu.Babu unafananisha wc na NBC ligi haupo serious kweli
Mashambulizi unayaona lakin?Hakuna goli linarudi tunashipiga Nyanga za kutosha huku tunabana mbupu hadi kieleweke, Korea hawarudishi hata kwa bahati