Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ahahahah Bado unanitafuta kumbe sasa una mziki na Uruguay tusubiri mkuu[emoji23][emoji23]
 
Kuanzia mashabiki wengi,
Maandalizi mazuri
Technology nzuri
Hakuna timu yenye uhakika wa kuendelea mbele
Timu zimejipanga vizuri
Aibu kwa LGBT na Uingereza ,baada ya speech ya Raisi wa Fifa kuwachana Live walisagia kunguni sana mashindano ya mwaka huu kwa kushirikiana na Pundits wao wa mchongo kuwa hayatanoga na atakuwa ya hovyo kuwahi kutokea.

David Beckham sasa mitandaoni anasema vibaya na waingereza kila akipost kisa yeye kupromote mashindano ya Qatar ,sasa hivi hawaaamini macho yao wananuka aibu 😆😆😆
 
Kosi la dunia Brazil ikicheza dunia nzima mpka fifa wana furahi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91]
20221128_181225.jpg
 
Back
Top Bottom