Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamua kuwa mzalendo. Ghana na Cameroon wamenifurahisha.
Hahaa.. Haya sawa dada yangu. 😂Asante kwa kunisahisha, ulim hauna mfupa. Ila mm n dada 😂
Mbona sasa wanafungwa hao indomitable lions?ANGALIZO
Alafu watu wengi humu wanawaita Cameroon simba wa teranga ni makosa kwani wao wanaitwa the indomitable lions, maana yake simba asiyeshindwa.
Senegal wanaitwa lions of teranga, maana yake simba wenye ukarimu!
Sitegemei tena kuona watu mkichanganya hao simba wawili tena.
Kwann jamn mbona nayy ni wa motroooHuyo sijui km kaitwa timu ya taifa
Nilitamani kumwona wcYupo Ila France ina watu hata hvyo bado chalii yule ana Muda kama makombe 4 ya dunia kucheza
Halla Madrid
Sawaa mkuu mm ndio nilikozea [emoji1]ANGALIZO
Alafu watu wengi humu wanawaita Cameroon simba wa teranga ni makosa kwani wao wanaitwa the indomitable lions, maana yake simba asiyeshindwa.
Senegal wanaitwa lions of teranga, maana yake simba wenye ukarimu!
Sitegemei tena kuona watu mkichanganya hao simba wawili tena.
Imagine Embolo anakosa bao hapa .Hilo jina la embolo kwa nini watangazaji wetu wasitafute ubunifu wa kulitamka limekaa kise nge [emoji23]
Yuko ila ushindani wa namba yake au tuite rotation kama siyo ushindani. Anaweza akacheza vs TunisiaHuyo sijui km kaitwa timu ya taifa
EmboloHilo jina la embolo kwa nini watangazaji wetu wasitafute ubunifu wa kulitamka limekaa kise nge
Kwann jamn mbona nayy ni wa motrooo
Wee Ni Kama mm tu sibetigi kbsa sijui kwannNifundisheni kubet.Nakupenda mpira kote huku ila sijawahi kubet.
Hela ya kubet unayo?Wee Ni Kama mm tu sibetigi kbsa sijui kwann