permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Senegal ni kama haina mshambuliaji wa kueleweka.Nafasi za wazi nyingii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Senegal ni kama haina mshambuliaji wa kueleweka.Nafasi za wazi nyingii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaa, mimi moyo ulikuwa unaenda mbio tu, makangale yalikuwa yanajipumulia kivyake[emoji3][emoji3]
Mh! Mkuu sio kwamba tunaanza kiburi mapema sana?Kweli mkuu
Mpaka sasa 1-2 senegal, wakaze buti. Natamani wakutanishwe na brazili au france tuwashikishe adabu
Hili ni tatizo toka afconSenegal ni kama haina mshambuliaji wa kueleweka.
Kiukweli hili ni tatizo, Senegal wanajichezea tu ni kama hawana kocha.They would rather go for a coach that has watched Brazilian team play live....
They'll be like if he has watched Brazil play in the Maracana then,under his experience watch,we can win the nations cup...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namna Afrika tunavochagua makocha
Anahofia mkeka wakeYa Nyoko
Hawanan kocha wee umewai hata kugusa mpira Kweli ,HV unamjua alu cise acha hzo man let pray for SenegalKiukweli hili ni tatizo, Senegal wanajichezea tu ni kama hawana kocha.
[emoji1787]dahAfrica sisi kwa sisi tunawezana
Ila tunapokutana na ngozi nyeupe unyani wetu huonekana kirahisi [emoji16]
Mbona tunajishusha hivi aisee! Jana Ghana kashinda vp South Korea wako kusini mwa jangwa la sahara?Africa sisi kwa sisi tunawezana
Ila tunapokutana na ngozi nyeupe unyani wetu huonekana kirahisi [emoji16]
Wee all know that [emoji57]Jamaa wakisawazisha tu Lions of Teranga OUT
Usitake nikujibu vibaya.Hawanan kocha wee umewai hata kugusa mpira Kweli ,HV unamjua alu cise acha hzo man let pray for Senegal