atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Nimerejea mkuu...nakuta Senegal wametuinua
Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerejea mkuu...nakuta Senegal wametuinua
NimerejeaTutakumiss jmn,kila la heri uendako.
Hampendagi shida kabisa nyie![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alooo nmecheka,hapana jaman sikujua kama wales kushinda ni LAZIMA afunge goli 4 kuendelea. Sasa siwaon wakichomoka hapo
Karibu
Us outHuu hapa utabiri wangu:
1. Netherlands vs USA
2. Argentina vs Denmark
3. France vs Mexico
4. England vs Senegal (confirmed)
5. Spain vs Morocco
6. Brazil vs Uruguay
7. Croatia vs Germany
8. Portugal vs Switzeland
Hii mechi ya Engalnd vs Wales ni huo upinzani wa jadi tu. Wales timu yao kufunga goli zaidi ya 2 ni shida kubwa. Engald anashika nafasi ya kwanza.Wales hawawez kufuzu hadi wamfunge England goal 7
England nae ujinga tuKwa hii mechi ya Senegal ya Leo sidhani kama watatoboa kwa England
PoleSikuwahi kuonja maumivu ya kukatiwa umeme katikati ya mechi.
Leo nimeyaonja, inauma sana, Tanesco wajinga sana
England siwezi kuibetia. Mimi naipenda na kamwe timu niipendayo sibetii. Kwa sababu nitaongozwa na mahaba kuliko uhalisia.Huna uzalendo ww unaangalia tu mkeka wako
Hawawez hao4 bana usiwape mzigo mzto hvo
Hawezi kutoboa. Watachapika mno. Wacha watusubiri.Kwa hii mechi ya Senegal ya Leo sidhani kama watatoboa kwa England
Sema nataman wales wapindue meza ili tukutane nao,Hampendagi shida kabisa nyie!
Tulikukosa humu....welcome backNimerejea
Ntafurahi mnooo....Us out
Argentina out
Uruguay out
Asante tuko pamoja mkuuTulikukosa humu....welcome back
Unashabikia timu gani ww [emoji23][emoji23][emoji23]Ntafurahi mnooo....