Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Alizaliwa Marekani na mama yake ni Mjamaica so automatically ni Mmarekani.Iv uyo dgo keshachukua uraia wa marekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alizaliwa Marekani na mama yake ni Mjamaica so automatically ni Mmarekani.Iv uyo dgo keshachukua uraia wa marekani?
Iv uyo dgo keshachukua uraia wa marekani? Inaezekana vip mutoto wa raisi kuna na uraia wa nchi yengine?Mtt wa Weah anajua sana mpr,Ana kasi na movement nzr on and off ball.
Yule mpigaji pass ndo kachelewa kutoa had akawa slightly slightly offside,lkn ilikua bonge ya finish kwl ile tight angle.
Kwa sbb alizaliwa uko akachagua kua Raia wa uko.Iv uyo dgo keshachukua uraia wa marekani? Inaezekana vip mutoto wa raisi kuna na uraia wa nchi ya my engine?
Haiwezekani Tanzania tuIv uyo dgo keshachukua uraia wa marekani? Inaezekana vip mutoto wa raisi kuna na uraia wa nchi ya my engine?
Kwaiyo baba ake ana mke mwengine?Alizaliwa Marekani na mama yake ni Mjamaica so automatically ni Mmarekani.
Naona wote na hyo mwana hamjajuwa kuwa hi siyo mtoano [emoji23][emoji23]Hamnaa 90' lazima kitaelewekaaa tu mkuu
Shemeji anakuchosha sana we Manzi, mwambie aendelee kukutendea haki viyvyo hivyo [emoji106][emoji38]Navyosinzia sasa 🥹
🤧Rashford kawazamisha ukuni ndugu zake
Siyo mpira mkali kama Azam dhidi ya Makolokolo [emoji848][emoji87]USA wanapiga mpira mkali kama Ihefu