Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huyu Aissa LAIDOUNI ana mavitu kama anayofanya Chama

Atakuwa ni role mode wake
 
Hawa Tunis wanashindwa kutumia fursa

Hii game France hana shida nayo sa nashangaa ambavyo Tunis anashindwa kupata bao wakati inaonekana wazi kuwa wanaachiwa mianya ya kufunga
 
Watapata tu bao mkuu maana wanacheza vizuri Sana, it's just a matter of time.
Hawa Tunis wanashindwa kutumia fursa

Hii game France hana shida nayo sa nashangaa ambavyo Tunis anashindwa kupata bao wakati inaonekana wazi kuwa wanaachiwa mianya ya kufunga
 
Leo Argentina lazima atamfunga Poland japo najua Poland hawatakubali kirahisi kupoteza hii golden chance waliokwisha pata ya kusonga mbele
Waarabu nao nawaona wakidroo na Mexico so kuna uwezekano Poland wakasonga mbele kwa advantage ya GD nzuri japo lolote laweza kutokea
Group D hakuna mabadiliko, naona France na Australia wakisonga mbele kwa nafasi walizo nazo sasa
Roud of 16
  • France vs Poland
  • Argentina vs Australia
Hivi wakitoka draw inakuwaje?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Shida yao Ni hawajui kushoot kbsa, wamepata chances nyingi Sana Kama wangelikuwa wanajua kushoot wangekuwa wameshafunga angalau bao Moja.
Ni wanyonge Sana kwenye lango la mpinzani wao.
Sisi wenyewe ndio tatizo tunashindwa kujiongeza

Wanakuachia space ndani ya box unashindwa kufungwa unabaki unalia upewe penati
 
Shida yao Ni hawajui kushoot kbsa, wamepata chances nyingi Sana Kama wangelikuwa wanajua kushoot wangekuwa wameshafunga angalau bao Moja.
Ni wanyonge Sana kwenye lango la mpinzani wao.
Nahisi kama hawaamini kuwa France wameamua kuwaachia fursa
 
Back
Top Bottom