Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kudus yupo vzr sana na yeye kwa mechi alizocheza mpk sasa kwny WC yupo vzrWakati ule alikuwepo Asomoah Gyan, Ijumaa atakuwepo Kudus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudus yupo vzr sana na yeye kwa mechi alizocheza mpk sasa kwny WC yupo vzrWakati ule alikuwepo Asomoah Gyan, Ijumaa atakuwepo Kudus
The man had to do wat he had to do....hilo lazima tulikubali japo haiondoi maumivu alayotuletea waafrica
Watuachie hizi points jamani, wale Ni waafrica wenzetuFrance hawawezi kuwa na roho mbaya kuwa hadi hii mechi washinde
Safi kabisa....hiyo inaitwa kujitoa muhanga na kulipiga ia taifa. Maana kutoka quarter kwenda semi final means federation ilipata mpunga zaidi in terms of prize moneyNaskia jamaa alipewa mgwanja mnono Sana kwa alichokifanya😂
Yaani humu Ufaransa kuna waafrika kuliko hata Tunisia sasa huyu Steve Mandanda si awaachie tu ndugu zake ili wapite....
Hawa Tunis wanashindwa kutumia fursa
Hii game France hana shida nayo sa nashangaa ambavyo Tunis anashindwa kupata bao wakati inaonekana wazi kuwa wanaachiwa mianya ya kufunga
Sisi wenyewe ndio tatizo tunashindwa kujiongezaWatuachie hizi points jamani, wale Ni waafrica wenzetu
Hivi wakitoka draw inakuwaje?Leo Argentina lazima atamfunga Poland japo najua Poland hawatakubali kirahisi kupoteza hii golden chance waliokwisha pata ya kusonga mbele
Waarabu nao nawaona wakidroo na Mexico so kuna uwezekano Poland wakasonga mbele kwa advantage ya GD nzuri japo lolote laweza kutokea
Group D hakuna mabadiliko, naona France na Australia wakisonga mbele kwa nafasi walizo nazo sasa
Roud of 16
- France vs Poland
- Argentina vs Australia
Sisi wenyewe ndio tatizo tunashindwa kujiongeza
Wanakuachia space ndani ya box unashindwa kufungwa unabaki unalia upewe penati
Nahisi kama hawaamini kuwa France wameamua kuwaachia fursaShida yao Ni hawajui kushoot kbsa, wamepata chances nyingi Sana Kama wangelikuwa wanajua kushoot wangekuwa wameshafunga angalau bao Moja.
Ni wanyonge Sana kwenye lango la mpinzani wao.
Si umeona?
Hata Mbappe mwenyewe anawacheka
France hawana pressure na ndio maana wanachezea mpira hata sehemu yao golini bila wasi wasiWatapata tu bao mkuu maana wanacheza vizuri Sana, it's just a matter of time.
Kitu cha tofauti si ndio hicho cha Tunis kushindwa kujiongezaLabda kaona kitu kingine huko todauti na uwanjani ambacho kinamchekesha, you never know.