Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Most likely mkuuPoland atapigwa kama ngoma daadeki....
Leo lazima mtu atokwe damu puani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Most likely mkuuPoland atapigwa kama ngoma daadeki....
Dah! Pole kwa mkasa ila kwavile upo hai Mungu ni mwemaBebs Mwenzio nlikuwa na msala mkubwa sana ndo maana jana skutokea.
Nasubiri game la mwanangu Messi hapa
Yani so exited
Yeah wameshinda ila ushindi hauna faidaYani tunisia imefunga France? Maana nimechek Google nimeona ...au nimeona vibaya?
FRANCE B.Yani tunisia imefunga France? Maana nimechek Google nimeona ...au nimeona vibaya?
Hadi wafunge ndo mashabiki wa arg wataonekanaUzi umepa Argentina haina mashabiki[emoji16]
SjaelewaFRANCE B.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemkomeshaaa haswaaaUwe unaelewa,muda huo huo Saudi anacheza na Mexico. Ni wapi nimesema Saudi anacheza na Argentina ?
Ilikuwaje kuwaje jaman?Yeah wameshinda ila ushindi hauna faida
Watu jau sanaHadi wafunge ndo mashabiki wa arg wataonekana
We subiriii
iKahofia mipira ya juu na Poland wazr sana waref na leo Silaha yao kubwa zidi yetu itakua iyo mipira ya set pieces... CUTI Romero mzr mkuu na amerud kwny match fitness na ndo alikua 1st 11 kabla ya injury Pa1 Martinez yuko poa sana lkn Romero na Otamendi ndo partnership yetu kwa mda mref.
Vamonos [emoji1033]
🤣🤣🤣🤣Hauko serious, team ipii Africa itachukua kombe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
France alikuwa ameshafuzu na tunisia alikuwa keshatoka so haikuwa na maanakukaza sanaIlikuwaje kuwaje jaman?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akifunga iyo najiondoa JFMnataka hat trick ya Messi au mnataka nini?