Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Bebs Mwenzio nlikuwa na msala mkubwa sana ndo maana jana skutokea.
Nasubiri game la mwanangu Messi hapa
Yani so exited
Dah! Pole kwa mkasa ila kwavile upo hai Mungu ni mwema

Acha tuangalie mbungi
 
Nakubal
Kahofia mipira ya juu na Poland wazr sana waref na leo Silaha yao kubwa zidi yetu itakua iyo mipira ya set pieces... CUTI Romero mzr mkuu na amerud kwny match fitness na ndo alikua 1st 11 kabla ya injury Pa1 Martinez yuko poa sana lkn Romero na Otamendi ndo partnership yetu kwa mda mref.

Vamonos [emoji1033]
i
 
Back
Top Bottom