Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 984
- 1,232
At 35y & 159d old, Lionel Messi (7 shots & 5 chances created) is the oldest player to attempt 5+ shots and create 5+ chances in a World Cup game since 1966.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora apite Mexico hawa Poland wanacheza urojo tuKwaiyo anapita poland ama mexico???
Mpaka sasa ni Poland. Ila wakipigwa la tatu,au Mexico wakiongeza la tatu.Poland anatoka.Kwaiyo anapita poland ama mexico???
Hebu Dadavua Vizuri, Hii Ya Yellow [emoji388] CardsMexico akipata goli la tatu Poland anafungasha virago, Poland akipewa yellow cards nane(moja zaidi ya Mexico) anafungasha virago
Wacheze ivo ivo mexico asipate goli.Nimependa jihad ya Saudia..wanacheza kufaa
Mmejikaza sana robo nyinyi
Goal difference za Poland na Mexico ni sawa, baada ya kuangalia goal diff, wanaangalia kadi za njano. Mexico wana kadi nyingi za njano kuliko PolandHebu Dadavua Vizuri, Hii Ya Yellow [emoji388] Cards
Endelea kuota kuhusu ArgentinaBora apite Mexico hawa Poland wanacheza urojo tu
Mhh Ila bora wapite Poland ili ufaransa ajipigie hao Poland akutane na Messi amshindilie za kutosha Argentina waondoke na Ndege ya precious warud huko Argentina [emoji34][emoji34][emoji34]
Karibu sana MkuuNialike Tuje Kutizama Wote, Team France
WamejitaidiNimependa jihad ya Saudia..wanacheza kufaa