Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Spain [emoji3581]
German [emoji3581]

Japan hawezi mfunga spain akijitahid sare hao Costa rica leo hasira za wajukuu wa Hitler zitawaka juu yao wanaweza wakafunga grupu kwa kapu la magoli.
 
Spain [emoji3581]
German [emoji3581]

Japan hawezi mfunga spain akijitahid sare hao Costa rica leo hasira za wajukuu wa Hitler zitawaka juu yao wanaweza wakafunga grupu kwa kapu la magoli.
Ninasikia Spain hataki kushinda,anakwepa kuongoza kundi.Maana akiongoza kundi na akimfunga Croatia kuna hatari ya kukutana na Brazil njiani then Argentina nusu fainali.
 
Lilikuwa chama langu hilo lkn tangu walivyokuja kutetea upinde dizaini nimebaki na Argentina na Senegal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan German wasitetee haki za binadamu kisa wee hapo? Kwan wanakujua? Au shobo zako kwaoooo?

Taifa stars haitetei ushoga mbna hata AFCON haitoboi.

Watu mmevurugwaaa vibayaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Spain [emoji3581]
German [emoji3581]

Japan hawezi mfunga spain akijitahid sare hao Costa rica leo hasira za wajukuu wa Hitler zitawaka juu yao wanaweza wakafunga grupu kwa kapu la magoli.
Na watafungwaaa kweliiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo raha .Nimegundua kuwa na team before match ni kujitakia pressure ya bure.As far as Tanzania haimo,so bora kushangilia inayoshinda.
Me nimeadi kabisa, zikitoka timu zote za Africa na mimi naacha kufuatilia hii michuano.

Siwezi kushabikia timu kutoka bara lingine.

Nb. Usimkatae baba yako eti kisa ni mlevi wa chang'aa.
 
Wale wa FTA itabidi muwe mnacheki update za Ghana kipande hii... 15 mins to go...
 
Nishobokee shoga mimi ningekuwa baba ako ningekuua mda sana
Uwe baba angu utambeee? Unaweza kuwa na mtoto km mie? Hata uzazi wenyewee unao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom