yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Kila kitu,kujituma kwake etcUmempendea nn aisee[emoji41][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu,kujituma kwake etcUmempendea nn aisee[emoji41][emoji41]
Lilikuwa chama langu hilo lkn tangu walivyokuja kutetea upinde dizaini nimebaki na Argentina na Senegal
Unakumbuka zile 7.HhahahaaNataka German atoboe hapa aje anipigie Brazil uko mbele
I like football mkuu,I like german football
Siamini km hao wachezaji ni mashoga
Anaeshinda ndo huyo huyo tupo naeKuna watu humu ndani hawaeleweki team zao ni zipi maana kila tim unakuta yumo, kuna wengine bendera fata upepo.
Tunafurahia football bwana. Kuwa na team ni kujitakia ugonjwa wa moyo. Dawa kufurahia team inayosakata kabumbu vizuri.Kuna watu humu ndani hawaeleweki team zao ni zipi maana kila tim unakuta yumo, kuna wengine bendera fata upepo.
Ulivyoandika tu i like nikapigia mstariI like football mkuu,I like german football
Siamini km hao wachezaji ni mashoga
Ndo raha .Nimegundua kuwa na team before match ni kujitakia pressure ya bure.As far as Tanzania haimo,so bora kushangilia inayoshinda.Anaeshinda ndo huyo huyo tupo nae
Ninasikia Spain hataki kushinda,anakwepa kuongoza kundi.Maana akiongoza kundi na akimfunga Croatia kuna hatari ya kukutana na Brazil njiani then Argentina nusu fainali.Spain [emoji3581]
German [emoji3581]
Japan hawezi mfunga spain akijitahid sare hao Costa rica leo hasira za wajukuu wa Hitler zitawaka juu yao wanaweza wakafunga grupu kwa kapu la magoli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan German wasitetee haki za binadamu kisa wee hapo? Kwan wanakujua? Au shobo zako kwaoooo?Lilikuwa chama langu hilo lkn tangu walivyokuja kutetea upinde dizaini nimebaki na Argentina na Senegal
Lina stress za maisha hilo li mtuuu, wee lipuuze tyuuh. Wala lisikupe shida hata.Heshima ni kitu cha bure
We mbwa mmoja ndio unanipangia mimi timu ya kusaport? Then unitukane
Na watafungwaaa kweliiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Spain [emoji3581]
German [emoji3581]
Japan hawezi mfunga spain akijitahid sare hao Costa rica leo hasira za wajukuu wa Hitler zitawaka juu yao wanaweza wakafunga grupu kwa kapu la magoli.
Toka juz, jana, leo, kesho na hata mileleeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashoga ni binadamu toka lini?
Poleeeeeeeh huna furahaa ya maishaaa, wahi milembeee ukapatee tibaaa.Nyie ni wakuuwa tu
Me nimeadi kabisa, zikitoka timu zote za Africa na mimi naacha kufuatilia hii michuano.Ndo raha .Nimegundua kuwa na team before match ni kujitakia pressure ya bure.As far as Tanzania haimo,so bora kushangilia inayoshinda.
Uwe baba angu utambeee? Unaweza kuwa na mtoto km mie? Hata uzazi wenyewee unao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishobokee shoga mimi ningekuwa baba ako ningekuua mda sana
Wale wa FTA itabidi muwe mnacheki update za Ghana kipande hii... 15 mins to go...