Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio mkuu nimekaa na watoto wa kike hapa wanaangalia ball tupo home wanashangaa mchezaji anaitwa Jesus hawamjui
Au ni wale wamama walikuwa wanashangilia marudio ya mechi ya Ujerumani mchana
Na Wala hawakujua kama ni marudio
Na wakawa wanajiuliza kuwa huyu refa mbona kama wa kike huku wanatazama vizuri kideo pale hospital.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app