Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sio mkuu nimekaa na watoto wa kike hapa wanaangalia ball tupo home wanashangaa mchezaji anaitwa Jesus hawamjui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au ni wale wamama walikuwa wanashangilia marudio ya mechi ya Ujerumani mchana
Na Wala hawakujua kama ni marudio

Na wakawa wanajiuliza kuwa huyu refa mbona kama wa kike huku wanatazama vizuri kideo pale hospital.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Huku TBC mambo ni tofauti kidogo

Mwanzo nilikuwa nafikiria kuwa huu muonekano mbovu tunauona sisi tu ila hawa watangazaji wao ni clear HD kumbe nilikuwa nakosea

Mtangazaji anatafsiri tukio la foul kuwa ni Offside imenibidi tu nicheke
Hii ni gif live sio mbungi live, tibisii walituingiza chaka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au ni wale wamama walikuwa wanashangilia marudio ya mechi ya Ujerumani mchana
Na Wala hawakujua kama ni marudio

Na wakawa wanajiuliza kuwa huyu refa mbona kama wa kike huku wanatazama vizuri kideo pale hospital.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hatari sana mkuu, wanachangamsha sebure kwa maswali ya ajabu ajabu, Jesus anacheza mpira?! Nawaambia ndio anacheza yule pale
 
Back
Top Bottom